Kianal (pia Kinamfau) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waanal. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kianal nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 23,000. Pia kuna wasemaji 50 nchini Myanmar. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kianal iko katika kundi la Kikukish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.