Kianasi (pia Kibapu) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waanasi. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kianasi imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kianasi iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.