Kiandio (pia Kimasama) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waandio kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiandio imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiandio iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiandio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.