Kiantakarinya
Kiantakarinya ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waantakarinya katika jimbo la South Australia. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiantakarinya ilihesabiwa kuwa watu sita tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiantakarinya kiko katika kundi la Kiwati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiantakarinya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiantakarinya Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiantakarinya katika Glottolog
- lugha ya Kiantakarinya katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiantakarinya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |