Kianyin-Morofo
Kianyin-Morofo (au Kimorofo) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waanyin. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kianyin-Morofo imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianyin-Morofo iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimorofo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimorofo Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimorofo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mtb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianyin-Morofo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |