Kiarabana ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waarabana katika jimbo la South Australia. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiarabana ilihesabiwa kuwa watu kuminawawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarabana kiko katika kundi la Kipalku.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarabana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.