Kiaralle-Tabulahan

Kiaralle-Tabulahan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waaralle na Watabulahan kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kiaralle-Tabulahan imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaralle-Tabulahan iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaralle-Tabulahan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.