Kiaranda cha Kusini Chini
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kiaranda cha Kusini Chini ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waaranda katika jimbo la South Australia karibu na mji wa Alice Springs. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiaranda cha Kusini Chini ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaranda cha Kusini Chini kiko katika kundi la Kiarandiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiaranda cha Kusini Chini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaranda cha Kusini Chini Archived 22 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiaranda cha Kusini Chini katika Glottolog
- lugha ya Kiaranda cha Kusini Chini katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaranda cha Kusini Chini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |