Kiarandai
Kiarandai ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waarandai. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiarandai imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarandai iko katika kundi la “South Bird's Head”.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiarandai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiarandai Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiarandai katika Glottolog
- lugha ya Kiarandai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiarandai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |