Kiarha ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Waarha. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiarha imehesabiwa kuwa watu 170, na lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarha iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarhâ kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.