Kiasumboa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waasumboa kwenye kisiwa cha Utupua. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiasumboa imehesabiwa kuwa wazee kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiasumboa iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiasumboa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.