Kiata
Kiata ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waata. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiata imehesabiwa kuwa wazee wawili tu, yaani inawezekana kwamba lugha imetoweka kabisa mpaka sasa hivi. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiata iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiata kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiata Archived 9 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiata katika Glottolog
- lugha ya Kiata kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |