Kiaustral ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Waaustral. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiaustral imehesabiwa kuwa watu 3000 nchini Polinesia ya Kifaransa. Waaustral wengi, hasa vijana, wanatumia lugha ya Kitahiti badala ya lugha yao ya asili, yaani lugha ya Kiaustral iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaustral iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaustral kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.