Kibada (Indonesia)
Kibada ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabada kwenye kisiwa cha Sulawesi. Isichanganywe na lugha ya Kibada izungumzwayo nchini Nigeria. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibada imehesabiwa kuwa watu 6800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibada iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibada kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibada Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibada katika Glottolog
- lugha ya Kibada kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibada (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |