Kibadaga ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabadaga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibadaga imehesabiwa kuwa watu 135,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibadaga iko katika kundi la Kikannada.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibadaga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.