Kibadyara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea, Guinea-Bisau na Senegal inayozungumzwa na Wabadyara. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kibadyara nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 6300. Pia kuna wasemaji 4580 nchini Guinea-Bisau na wasemaji 1850 nchini Senegal. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibadyara iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibadyara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.