Kibaga-Kaloum
Kibaga-Kaloum ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea iliyozungumzwa na Wabaga. Wasemaji wa Kibaga-Kaloum waliacha lugha yao na kuzungumza Kisusu badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaga-Kaloum iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikaloum kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaloum Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikaloum katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bqf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibaga-Kaloum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |