Kibaga-Sobane ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea iliyozungumzwa na Wabaga. Wasemaji wa Kibaga-Sobane waliacha lugha yao na kuzungumza Kisusu badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaga-Sobane iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaga-Sobane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.