Kibaham ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabaham. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibaham imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaham iko katika kundi la Kibomberai-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaham kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.