Kibahnar
Kibahnar ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wabahnar. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibahnar imehesabiwa kuwa watu 158,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibahnar iko katika kundi lake lenyewe la Kibahnariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibahnar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibahnar Ilihifadhiwa 26 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibahnar katika Glottolog
- lugha ya Kibahnar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibahnar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |