Lugha za Kiaustro-Asiatiki

Lugha za Kiaustro-Asiatiki ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika nchi za Asia ya Kusini-Mashariki. Katika familia hiyo kuna lugha 168 zenye wasemaji takriban milioni 100. Lugha za Kiaustro-Asiatiki zenye wasemaji wengi mno ni Kivietnam na Kikhmer ambazo moja ni lugha rasmi nchini Vietnam na nyingine nchini Kamboja.

Uenezaji wa lugha za Kiaustro-Asiatiki
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiaustro-Asiatiki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.