Kibakati' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabakati' kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kibakati' imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakati' iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibakati' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.