Kibakwé ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabakwé. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibakwé imehesabiwa kuwa watu 10,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakwé iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibakwe (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.