Kibaldemu
Kibaldemu ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabaldemu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibaldemu imehesabiwa kuwa watu nne tu. Kwa hiyo lugha inakaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaldemu iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibaldemu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibaldemu Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibaldemu katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibaldemu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibaldemu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |