Kibalti
Lugha ya Tibetic ya Baltician, Pakistani
Kibalti ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wabalti. Idadi ya wasemaji wa Kibalti imehesabiwa kuwa watu 270,000 nchini Pakistan (1992) na 20,000 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibalti iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibalti kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibalti Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibalti katika Glottolog
- lugha ya Kibalti kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibalti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |