Kibambili-Bambui
Kibambili-Bambui ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabambili-Bambui. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kibambili-Bambui imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibambili-Bambui iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibambili-Bambui kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibambili-Bambui Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibambili-Bambui katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibambili-Bambui
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibambili-Bambui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |