Kibamenyam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabamenyam. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kibamenyam imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibamenyam iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibamenyam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.