Kibamukumbit

(Elekezwa kutoka Kibamukumbit (lugha))

Kibamukumbit ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabamukumbit. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kibamukumbit imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibamukumbit iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibamukumbit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.