Kibamunka
Kibamunka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabamunka. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kibamunka imehesabiwa kuwa watu 31,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibamunka iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibamunka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibamunka Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibamunka katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibamunka
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibamunka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |