Kibana
(Elekezwa kutoka Kibana (lugha))
Kibana ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabana. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibana imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibana iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibana kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibana Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibana katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibana
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |