Kibangi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabangi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibangi nchini Jamhuri ya Kongo imehesabiwa kuwa watu 60,400. Pia kuna wasemaji 50,900 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na wasemaji 7440 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibangi iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibangi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.