Kibangka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabangka kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibangka imehesabiwa kuwa watu 340,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibangka iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibangka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.