Kibantawa ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wabantawa. Idadi ya wasemaji wa Kibantawa imehesabiwa kuwa watu 133,000 nchini Nepal (2011) na 14,400 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibantawa iko katika kundi la Kikiranti.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibantawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.