Kibarama
(Elekezwa kutoka Kibarama (lugha))
Kibarama ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wabarama. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kibarama imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibarama iko katika kundi la B40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibarama kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibarama Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibarama katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bbg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibarama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |