Kibarapasi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabarapasi. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibarapasi imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibarapasi iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarapasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.