Kibaras (pia Kiende) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabaras kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibaras imehesabiwa kuwa watu 250 tu. Lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaras iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaras kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.