Kibarngarla (pia Kiparnkalla au Kibanggarla) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabarngarla katika jimbo la South Australia. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibarngarla ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarngarla kiko katika kundi la Kiyura.

Viungo vya nje

hariri
  • Ghil'ad Zuckermann (2018), Dictionary of the Barngarla Aboriginal Language Archived 16 Agosti 2020 at the Wayback Machine..
  • Barngarlidhi Manoo (Speaking Barngarla Together). Australia: Barngarla Language Advisory Committee. 2019.
    Barngarlidhi Manoo II
  • lugha ya Kibarngarla kwenye Multitree
  • makala za OLAC kuhusu Kibarngarla Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
  • lugha ya Kibarngarla katika Glottolog
  • lugha ya Kibarngarla katika Ethnologue
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarngarla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.