Kibarombi
Kibarombi ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabarombi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibarombi imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibarombi iko katika kundi la A40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibarombi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibarombi Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibarombi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bbi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibarombi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |