Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Kibata (Kilwa)

Kibata ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabata. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kibata nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 150,000. Pia kuna wasemaji 2500 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibata iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.