Kibatak-Alas-Kluet

Kibatak-Alas-Kluet ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waalas, Wakluet na Wasingkil kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Alas-Kluet imehesabiwa kuwa watu 195,000, yaani Waalas 80,000,Wakluet 50,000 na Wasingkil 65,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Alas-Kluet iko katika kundi la Kibatak.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Alas-Kluet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.