Kibatak-Dairi (pia Kipakpak) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadairi kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Dairi imehesabiwa kuwa watu 1,200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Dairi iko katika kundi la Kibatak.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Dairi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.