Kibatak-Karo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaro kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Karo imehesabiwa kuwa watu 600,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Karo iko katika kundi la Kibatak.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Karo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.