Kibatak-Toba
Kibatak-Toba ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watoba kwenye visiwa vya Sumatra na Samosir. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Toba imehesabiwa kuwa watu milioni mbili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Toba iko katika kundi la Kibatak.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibatak-Toba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibatak-Toba Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibatak-Toba katika Glottolog
- lugha ya Kibatak-Toba kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Toba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |