Kibaule ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabaule. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibaule imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni mbili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaule iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.