Kibayungu
Kibayungu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wabayungu katika jimbo la Australia ya Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kibayungu wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibayungu kiko katika kundi la Kikanyara.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibayungu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibayungu Ilihifadhiwa 22 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibayungu katika Glottolog
- lugha ya Kibayungu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibayungu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |