Kibedjond
Kibedjond ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wabedjond. Mwaka wa 1969 idadi ya wasemaji wa Kibedjond imehesabiwa kuwa watu 36,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibedjond iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibedjond kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibedjond Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibedjond katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bjv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibedjond kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |