Kibemba
(Elekezwa kutoka Kibemba (lugha))
Kibemba ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wabemba. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibemba imehesabiwa kuwa watu milioni tatu na laki tatu. Pia kuna wasemaji nchi za Botswana, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Malawi. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibemba iko katika kundi la M40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibemba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibemba Ilihifadhiwa 9 Machi 2023 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibemba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bem
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |