Kibetaf ni lugha ya Kitor-Kwerba nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabetaf. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kibetaf imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibetaf iko katika kundi la Tor.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibetaf kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.