Kibiage ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakoiari. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kibiage imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiage iko katika kundi la Kikoiarian. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kikoiari ya Milimani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibiage kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.