Kibiao-Mon ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibiao-Mon imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibiao-Mon iko katika kundi la Kimieniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibiao-Mon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.